Free Video editor Adobe tutorial adobe training Adobe premiere pro EASILY CREATE TITLE GRAPHICSwww.adobe.com
Hujambo mtazamaji popote ulipo na karibu kwa mafunzo ya Adobe swahili ili ujifunze jinsi ya kufanya kazi na program zote za Adobe Creative Cloud 2021
Kwa somo letu la leo tutaangalia jinsi ya kuunda title graphics kwa urahisi ndani ya adobe premiere pro cc
Adobe premiere pro inakuruhusu kutumia type tools, pen, rectangle na ellipse tools ku create titles na shapes kwenye multiple layers kwa ku click moja kwa moja kwenye program monitor. punde tu title imeundwa tumia essential graphics panel ku fine tune muonekano wake. Ili kufuata download sample files zinazo ambatana na hii tutorial. Kwa sasa niko kwenye editing workspace. Nitaenda ku switch kwa graphics workspace ili kuifanya iwe rahisi kidogo ku create naku edit titles. Nina sequence iliyofunguliwa ambayo tayari imebeba titles mbili. Nitaenda ku mute music track jinsi tulivyo fanya kwenye visuals kwa sasa . Nitaenda ku select title ya kwanza kisha ni select Edit tab kwenye essential graphics panel. Kulia kabisa naona layers tatu kwenye hii graphic, company name, present na shape ambayo ina gradient applied inayo animate kwenye screen. Nimeona kuna cross fade iliyotumika kwenye title pia. Kwa hivyo kuna fade up na down kwenye start na finish. Punde tu layer imechaguliwa unaweza tumia settings zilizo onyeshwa kwenye essential graphics panel ili kubadilisha properties zake.

Duration: 00:11:45

source